Kauli taarifa ni kishazi tegemezi ambacho inasisitiza maneno ya mtu, mawazo, maoni, uamuzi, swali, muono n.k. Mara nyingi ni muhimu kubadili fomu ya neno la awali au mawazo. Kauli taarifa inatofautiana na kauli halisi ambayo inanukuu, ambayo si kishazi tegemezi, na kwa hiyo haina viunganishi. Kauli halisi mara nyingi inafuata nukta mbili na alama ya kunukuu.
Kauli halisi: | Petro diris: "Mi volas doni ion al vi." - Petro alisema: "Nataka kukupa kitu." |
---|---|
Kauli taarifa: | Petro diris, ke li volas doni ion al mi. - Pita alisema kwamba alitaka kunipa kitu mimi. |
Kauli halisi: | Karlo demandis: "Ĉu vi volas iri kun mi?" - Karlos aliuliza:"unataka kwenda pamoja na mimi?" |
---|---|
Kauli taarifa: | Karlo demandis, ĉu mi volas iri kun li. - Karlos aliuliza kama nahitaji kwenda pamoja naye. |
Kauli taarifa kawaida ni sentensi yenye ke au au kishazi cha swali. Mara nyingi kishazi tegemezi kama hicho kina jukumu la shamrisho ya kitendo kama kama kitu cha kitenzi kama diri, krii, pensi, scii, decidi, skribi, kompreni, rimarki, vidi, demandi, voli, aŭdi n.k. Li diris, ke li estas feliĉa. (Alisema kwamba ni muheri) Ŝi pensis, ke ŝi estas feliĉa. (Alifikiria kuwa alikuwa na furaha)
Kauli taarifa pia inaonekana kama kiarifu cha maneno kama mawazo, uamuzi, swali, timo nk: Alikuwa na mawazo kwamba ana furaha Uamuzi ulikuwa, kwamba Petro awe rais . Waliuliza swali, kuwa wanaweza kuhudhuria.
Kauli taarifa inaonekana pia kama kiima cha ŝajni, esti evidente, esti dube, esti klare, esti (ne)eble, esti verŝajne n.k: Ilionekana, kama inaonyesha. Ilikuwa wazi, kwamba alikuwa hana furaha.
Miundo ya vitenzi katika kauli taarifa
Katika lugha zingine muundo wa kitenzi lazima ugeuzwe kwa ajili ya kauli taarifa. Katika Kiesperanto, muundo halisi wa kitenzi daima unahifadhiwa:
-
Li diris: "Mi volas manĝi". → Li diris, ke li volas manĝi. - Alisema: "Nataka kula". → Alisema kwamba anataka kula.( kwa kiiengereza cha Colloquial unaweza pia kusikia "alisema kuwa anataka kula.hiyo inahusiana na mfumo wa kiesperanto.
AS ya volas ni ya wakati uliopo wa msemo halisi. Usibadili kuwa IS.
-
Li diris: "Mi tiam loĝis en Ĉinujo." → Li diris, ke li tiam loĝis en Ĉinujo. - Alisema:"kwa wakati huo nilishi China." →Alisema kwamba kwa wakati ule alikuwa akiishi China.
IS ya loĝis huonyesha wakati wa mapema kuliko taarifa halisi. Ingelikuwa kosa kuibadili kuwa estis loĝinta.
-
Ŝi demandis: "Ĉu vi iros kun mi al kinejo?" → Ŝi demandis, ĉu mi iros kun ŝi al kinejo. - Aliuliza: "Utakwenda kwenye sinema na mimi?" →Aliuliza ikiwa nitaenda naye kwenye sinema.
OS ya iros inaonyesha wakati ujao baada ya swali halisi. Ingekuwa kosa kubadilisha kwa estis ironta au volis iri.acha tuseme swali halisi lingekuwa "Ĉu vi volas iri kun mi?" mmoja anaweza kusema: Ŝi demandis, ĉu mi volas iri kun ŝi.
-
Li ne komprenis: "Kial ŝi ne volas partopreni?" → Li ne komprenis, kial ŝi ne volas partopreni. - Hakuweza kuelewa :"kwanini hataki kuhudhuria?"→Hakuweza kuelewa kwa nini hakutaka kuhudhuria.
AS ya volas inaonyesha muda unaoonyeshwa katika sentensi halisi.
- Ili ordonis: "Paku tuj vian valizon!" → Ili ordonis, ke mi tuj paku mian valizon. - Waliamuru: "Paki mfuko wako mara moja!" → Waliniamuru nipaki mfuko wangu mara moja.
-
Ŝi esperis, ke ŝi ilin trovos. - Alitumaini kwamba atawapata.
Wazo halisi lilikuwa: "Mi ilin trovos."
-
Ŝi estis plena de timo, ke la infano mortos. - Alikuwa amejaa wasiwasi kwamba mtoto atakufa.
Aliogopa na kufikiri: "La infano mortos!"
-
Li metis la kondiĉon, ke oni ne instruu al ŝi la Kristanan religion. - Ameweka amri kwamba tusimfundishe katika dini la Kikristo.
Alisema: "Ne instruu al ŝi..."
-
Ŝajnis al ŝi, ke ŝin ĉirkaŭas unu sola densa barilo el traboj. - Ilionekana kwake kwamba amezungukwa na kizuwizi kizito cha ubao.
Alifikiria: "Min ĉirkaŭas...", kwa sababu ndivyo ilivyoonekana kwake.
Kishazi tegemezi kawaida hakihadisii tena maneno au mawazo. Katika vishazi vya aina hii wakati unaohusiana na wakati uliopo:
-
Mi ne konis tiun, kiu venis. - Sikumfahamu huyo aliyekuja.
Konis na venis zote zinaonyesha muda kabla ya wakati uliopo. Bila shaka zinaonyesha muda wa kufanana.
-
Mi ne konis la personon, kiu estis baldaŭ venonta tra la pordo. - Sikumjua mtu ambae alikuwa akija kupitia mlango.
Vyote Konis na estis huonyesha muda kabla ya wakati uliopo. venonta inaonyesha wakati baada ya wakati uliopita.
maneno ya zamani na ya kienyeji katika kauli taarifa
Ikiwa katika sentensi iliyotajwa kuna muda wa kujieleza, kawaida inaweza kubaki bila kubadilika katika kauli taarifa. Hata hivyo, Baadhi ya chembe za mudahutegemea muda kamili wa uliopo, na wakati mwingine ni muhimu kubadili ili kuepuka kutoelewana. Maneno kama hayo ni hodiaŭ (leo), hieraŭ (jana), antaŭhieraŭ (juzi), morgaŭ(kesho na keshokutwa. Sentensi ambazo unahitaji kubadilisha neno kama hilo, ni chache sana:
-
Pasintan lundon li diris: "Mi ne laboros hodiaŭ!" → Pasintan lundon li diris, ke li ne laboros tiun tagon. - Jumatatu iliyopita alisema: "Sitafanya kazi leo!" → Jumatatu iliyopita alisema hawezi kufanya kazi siku hiyo.
Ikiwa hodiaŭ ingebaki katika kishazi tegemezi, basi ingekuwa siku ambayo sentensi nzima ilisemwa.
-
Morgaŭ li verŝajne diros: "Mi estis malsana hieraŭ!" → Morgaŭ li verŝajne diros, ke li estis malsana hodiaŭ. - Kesho bila shaka atapenda kusema: "Nilikuwa mgonjwa jana!" → Kesho atasema kwamba alikuwa mgonjwa leo.
Ikiwa janaimetumiwa kwenye kauli taarifa,hivyo tunazungumzia kuhusu siku moja kabla ya sentensi nzima ilisemwa. Bila shaka anasema kuhusu siku iliyopo na hivyo itageuka kuwa hodiaŭ (leo).
- Antaŭ unu semajno li demandis al mi: "Ĉu vi venos al mi morgaŭ?" → Antaŭ unu semajno li demandis al mi, ĉu mi venos al li la postan tagon. - Wiki moja iliyopita aliniuliza: "Je, utakuja kwangu kesho?" → Wiki moja iliyopita aliniuliza kama ningekwenda kwake siku ifuatayo.
Katika hadithi, hata hivyo, wakati mwingine hodiaŭ, hieraŭ kaj morgaŭ bila kubadilishwa: Li renkontis konaton, junan poeton, kiu rakontis al li, ke morgaŭ [= la postan tagon] li komencos sian someran vojaĝon. Sentensi hii inaonekana katika hadithi, na inaweza kuleta mashaka kwa kesho ya kweli.
Fomu kama hieraŭo, hieraŭa tago, morgaŭo, morgaŭa tago hutumiwa mara nyingi bila kujali muda kamili wa sasa.
Neno sasa linaweza kubadilika wakati mwingine kwenye kauli taarifa, lakini mara nyingi haiitajiki: Hieraŭ li diris: "Mi volas fari tion nun kaj ne poste!" → Hieraŭ li diris, ke li volas fari tion nun kaj ne poste. Unaweza kulibadilisha tiam, tiumomente au labda tuj, ila pia nun inafaa.
Maneno ya nafasi katika sentensi iliyotajwa lazima wakati mwingine yabadilishwe katika kauli taarifa, ukiwa unahadithia tena mahali pengine. Katika hali nyingine, mabadiliko haya yanaweza kuwa ya kawaida, lakini si lazima.
- Karlo na Eva wako wako Paris. Karlo huongea kuhusu Beijing ,na akamwambia Eva: Mi iros tien.
- Baadaye Eva yuko pamoja na Petro Beijing, na anamuhadithia tena Petro: Karlo diris, ke li iros ĉi tien. (Au: ...ke li venos ĉi tien.)
- Pita na Eva wako Tokyo, na Petro akamwambia: Mi iam estis en Berlino.
- Eva na Karlo baadaye wako Berlin, na anamuhadithia: Petro diris, ke li iam estis ĉi tie. Aŭ: Petro diris, ke li iam estis en Berlino.
Viwakilishi katika kauli taarifa
Katika kauli taarifa viwakilishi nafsi na viwakilishi milikishi mara nyingi vinapaswa kubadilika, ikiwa msemaji au msikilizaji amebadilika:
- Karlo kasema:Mi estas tre feliĉa.
- Petro kamuhadithia Eva:Karlo diris, ke li estas tre feliĉa. Mi → li.
- Karlo kamwambia Eva:Mi amas vin.
- Petro akauliza Eva:Ĉu li vere diris, ke li amas vin? Mi → li, vin inabaki
- Pita kauliza Karlo:Ĉu vi vere diris, ke vi amas ŝin? Mi → vi, vin → ŝin.
- Petro kamuhadithia Elizabeth:1}Mi → li, vin → ŝin.
- Karlo kamwambia Petro kuhusu Eva:Mi amas ŝin.
- Petro kahadithia Eva:Li diris, ke li amas vin.Mi → li, ŝin → vin.