Maneno mengine yanaonekana kijozi au kwa makundi yenye maana maalum. Yanaweza kuitwa kama maneno yaliokusanywa.
Kaj... kaj
Matumizi ya mara mbili au mara nyingi kaj (na) hutumiwa kusisitiza. Katika kesi hizi, kaj kuweka kabla ya mambo yaliyoambatanishwa, na kabla ya lakwanza pia. Unaposema, unasisitiza neno kaj ni hasa lafudhi:
-
Kaj Petro kaj Karlo laboras. - Wote wawili Petro na Karlo wanafanya kazi.
Husisitiza kwamba sio moja tu lakini wote wawili wanafanya kazi.
-
Kaj pluvas kaj blovas. - Ni vyote mvua na upepo.
Msisitizo kwamba matukio yote hutokea .
-
Petro kaj fumas kaj drinkas. - Petro hunywa na kuvuta kwa pamoja.
Wanasisitiza kwamba, kwa kweli, anafanya vitendo vyote.
-
Kaj ilia amo, kaj ilia malamo, kaj ilia ĵaluzo jam de longe malaperis. - Na mapenzi yao, na chuki yao, na wivu wao ulipotea muda mrefu uliopita.
Wanasisitiza kwamba vitu vitatu vyote vilitoweka.
Nek... nek
Matumizi ya kawaida ya nek yanamaanisha "na pia si", au "wala". Matumizi mengi ya nek yanamaanisha "na si". Matumizi ya pamoja ya nek kwa hiyo ni sawa na kaj ... kaj kuongeza ukanushaji:
- Mi renkontis nek lin, nek lian fraton. = Mi kaj ne renkontis lin, kaj ne renkontis lian fraton. - Mimi sikukutana naye wala ndugu yake. = Sikumkutana yeye, wala sikukutana na kaka yake:
- Nek ĝojo, nek malĝojo daŭras eterne. = Kaj ĝojo, kaj malĝojo ne daŭras eterne. - Si furaha wala huzuni havidumu milele. = furaha na huzuni havidumu milele.
- Ŝi estis muta, povis nek kanti nek paroli. = Ŝi kaj ne povis kanti, kaj ne povis paroli. - Alikuwa bubu, hivyo hakuweza kuimba wala kusema. = Hakuweza kuimba na hakuweza kuzungumza.
Aŭ... aŭ
Matumizi kadhaa ya aŭ (au) yanaonyesha kuwa njia mbadala zinazotolewa ni za pekee zilizowezekana. Ni lazima iwe mmoja wao, na hakuna chochote kingine. Unaposema kwa Kiesperanto, ni kawaida usisitize kwenye neno aŭ.
-
Nun ni devas aŭ venki aŭ morti! - Sasa tunapaswa kushinda au kufa!
Hatuwezi kufanya vyote viwili, na hatuwezi kufanya kitu chochote nje ya chaguo hizi mbili.
-
Aŭ vi faris grandan eraron, aŭ mi ĉion miskomprenis. - Umefanya kosa kubwa, au labda sikuelewa kila kitu.
Hakuna mbadala mwingine.
- Oni povus diri, ke aŭ ŝi forgesis ĉion en la mondo, aŭ ŝi ne havis forton, por iri pluen. - Mtu anaweza kusema kwamba alisahau kila kitu duniani, au hakuwa na nguvu ya kuendelea.
Jen... jen
Kawaida jen huvutia tahadhari kwa kitu fulani. jen{2 mara mbili au nyingi haina maana kama hiyo, lakini hutoa njia mbadala ambazo zinatumika, au uwezekano, unaofaa. Jen ... jen = wakati mwingine ... wakati mwingine :
-
Jen mi ardas de varmego, jen mi tremas de frosto. - Mara niungue juu ya joto, mara natetemeke juu baridi.
Hali hizo mbili zinapishana. Wakati mwingine mimi nina joto, wakati mwingine nina baridi.
-
Ŝia vizaĝo aperigis jen mortan palecon, jen koloron de sango. - Wakati mmoja, alionekana na sura kufa, wakati mwingine akawa na rangi ya damu.
Uso ulibadilika badilika.
- Mario videble havis deziron jen koleri, jen ridi, jen premi la manon al tiu ventanimulo. - Mtu anaweza kuona kwamba Mario alikuwa na nia ya kukasirika, kwa upande mwingine acheke, ashike mkono wa mfuko huu wa upepo.
- Li okupadis sin jen per tio, jen per alio. - Yeye alikuwa na kazi nyingi mwenyewe kwa sasa na hii, sasa na hiyo.
Ju... des
Ju na des hutumiwa mara kwa mara pamoja na pli au malpi. Ju na des kwa kushirikiana huonyesha kuwa msemo mmjo na pli unategemea mwingine. Maneno na ju yanaonyesha nini kinategemewa. Msemo nades unaonyesha kinachotegemea:
-
Ju pli da mono ni havos, des pli rapide kaj bone iros kompreneble nia afero. - Zaidi tuna fedha nyindi, ndivyo haraka na vizuri mambo yetu yatafanikiwa.
Ikiwa fedha zitaongezeka, ndivyo kasi na ubora bitaongezeka.
-
Ju pli alte staras la lingvo, des pli rapide progresas la popolo. - Zaidi lugha inakuwa juu, ndivyo haraka zaidi watu wataendelea.
Maendeleo ya watu hutegemea kiwango cha lugha.
- Ju pli da bruo, des malpli da ĝuo. - Kelele zaidi, furaha kidogo.
-
Ju pli grandaj ili fariĝis, des malpli ili volis tion toleri. - Zaidi waligeuka kuwa wakuu, zaidi hawataki kukivumilia.
Kipindi ukubwa uliongezeka, uvumilivu ulipunguka.
-
Ju pli klare vi elparolas, kaj ju malpli da malfacilaj vortoj vi uzas, des pli bone oni komprenas vin. - Zaidi matamshi yako ya wazi, na zaidi maneno yasiyo magumu unayotumia, ndivyo utaeleweka vizuri.
Kwa Kuongezeka kwa ufafanuzi na kupungua kwa ugumu kutasababisha ufahamu bora.
Mara nyingine des huonekana peke yake, bila ju. Kipindi hicho ju inaeleweka kwa mbali:
-
La saloneto ne estis vasta, tial des pli frapis la okulojn la eleganteco de ĝia aranĝo. - Sebuleni hapakuwa papana, na ndivyo uzuri wa utaratibu wake ulikuwa unashangaza zaidi.
Maoni hayaeleweki vizuri :Zaidi sebule nzuri ni ndogo, ndivyo zaidi uzuri wake unashangaza
Despeke yake mara nyingi inaweza kurudiliwanatiom
Kwa lugha zingine unaweza kutumia neno lile kwa tegemezi na tegemewa pli -prints. Hii haiwezekani kwa Kiesperanto. *Ju ... ju* haina maana. Tegemewa(mal)pli iwe na ju, na tegemezi (mal)pli iwe na des. Usiseme: Ju pli rapide vi revenos hejmen, ju pli bone. Sema: Ju pli rapide vi revenos hejmen, des pli bone. Inaeleweka pia des... des haiwezekani. Lakini mtu anaweza kuwa na maneno ju kadhaa ambayo pamoja hutegemewa na des moja au nyingi (au mambo kama hayo): Ju pli zorge kaj ju pli malrapide vi faros la laboron, des pli kontenta kaj des pli ĝoja mi fariĝos.